Wednesday, 14 August 2013

WATANZANIA NA NCHI JIRANI TUNAVYOJUMUIKA KANISANI ST CLARA KILA JUMAPILI KARIBUNI

 

                                         Mara moja moja naenda kuosha madhambi

                           Pastor wetu mwenyeji wa Mtwara kwahiyo tunaenda sawa kiswahili msiogope


Broda Audley akirekebisha mitambo watu wakamuwahi "kachaa"na mitambo mikalimikali

tulijumuika kiasi cha kutosha kabisa

baadae tukaunda mduara na kuimba wimbo mmoja spesheli wa upako jina ntawambia next week.


Tukiimba "BWANA MUNGU NASHANGAA KABISA",

kuwepo hapa mbali toka huko makwetu nayo ni miujiza lazima tushangae.Ndugu yetu toka TZ akipata mawaidha toka kwa Pastor

 Safi sana

SHUGHULI IKAISHA NAMNA HIYO,HUWA TUNAKUTANA KILA JUMAPILI SAA NANE MCHANA MPAKA SAA TISA MISA INAISHA.NI SAA MOJA TU KUSALI,KWAHIYO WALE WAVIVU KINA SISI WA KUSALI SAA 1 UNAWEZA  BANA.MPE MUNGU MUDA KIDOGO TU WA KUMWABUDU NAYEYE ATAKUSAIDIA KATIKA MAISHA YAKO.MPE MUNGU HESHIMA YAKE WAKATI BADO U MZIMA MAANA KATIKA DUNIA HII HATUJUI SIKU WALA SAA.

No comments:

Post a Comment