Wednesday 8 February 2012

MAAANDAMANO YA L H R C LEO MCHANA KUHUSU MGOMO WA MADAKTARI YATAWANYWA NA POLISI

 


wtanzania wakianza kujikusanya rasmi kuanza maandamano hayo

mara ngunguri wakafika na maikrofoni zao

 
Wito wa maandamano ulisomeka hivi fcbk
 
Makubaliano: Tukutane Salander Bridge mchana huu (saa nane); tuwe na mabango ili kuishinikiza serikali kuacha kufanya mzaha na afya za watu.Tujitokeze kwa wingi; tutakubaliana zaidi cha kufanya baada ya hapo."

No comments:

Post a Comment