Friday 10 February 2012

MLIOKO SWEDEN NAFASI HIYO YA KUSAFIRISHA MIZIGO KWENDA TANZANIA

Habari!! Napenda kutoa taarifa kwa wantanzania wenzangu kuwa kuna container
la ujazo wa cubic meter 32 linatakiwa kusafirishwa mwezi huu. kwa mtu anayetaka kusafirisha mizigo yake anakaribishwa kuchangia. Piga simu +46762738396
. S.Masatu kwa maelezo zaidi. Asante
.

No comments:

Post a Comment