Sunday 12 February 2012

WAKAZI WA SWEDEN NAFASI HIYO YA KUTUMA MIZIGO TZ

Habari!! Napenda kutoa taarifa kwa wantanzania wenzangu kuwa kuna container
la ujazo wa cubic meter 32 linatakiwa kusafirishwa mwezi huu. kwa mtu anayetaka kusafirisha mizigo yake anakaribishwa kuchangia. Piga simu +46762738396
. S.Masatu kwa maelezo zaidi. Asante
.

1 comment: