Wednesday 15 February 2012

UMOJA WA WATANZANIA UJERUMANI SASA UNAWEZA KUJIUNGA ONLINE

Waheshimiwa mabibi na mabwana,
kamati kuu ya umoja wa watanzania ujerumani(UTU) inayofuraha kuwajulisha kuwa fomu za maombi ya kujiunga na Umoja wa Watanzania Ujerumani,zinapatikana pia online,unaweza kuletewa kwa kutuma anuani yakoya barua pepe(email) at
kamati.utu@googlemail.com
Umoja ni Nguvu!
Mshikamano wetu ndio msingi imara wa umoja wetu,
Karibuni

No comments:

Post a Comment