Wednesday, 17 April 2013

Bi kidude amefariki dunia

Bi Kidude amefariki dunia mapema leo saa 4 asubuhi nyumbani kwake Raha leo mjini Zanzibar. Mara kadhaa Bi kidude, ambaye amejipatia sifa na umaarufu ndani na nje ya nchi, amekuwa akizushiwa kifo kutokana na kuuguawa muda mrefu....taarifa zaidi za kifo chake utazipata baadaye

No comments:

Post a Comment