Friday, 12 April 2013

OLDIES GOLD TOKA KWA FERRE GOLLAhumo utapata vitu kama
AFRICA MOKILI MOBIMBA-BABA GASTON
MATAT MUASI MOBALI-LUAMBO MAKIADI
BINA NA NGAI RESPECT-FRANCO
SOROZO-TABU LEY
ADIOS THETHE-TABU LEY
BAKULAKA-EVOLOKO
ATINZE PEPE KALLE
JHOLLY-PEPE KALLE
POT CASSE-CALLYTO LASSA
MOKOLO MOSUSU-CHOC STAR
LIPANDA-KING KESTER EMENEYA

NA VIBAO VINGINE KIBAO VILIVYOTAMBA ENZI ZETU HIZO.FERRE GOLLA AMEVIRUDIA NA KAPIGA NYIMBO HIZO KWA UMAKINI KISASA KABISA.HII HUWA NI ALBU, NAISKILIZA MARA KWA MARA NIKITAKA KUJILIWAZA NA KUTULIZA KICHWA.

WEEK-END NJEMA WADAU.No comments:

Post a Comment