Monday, 22 April 2013

TAARIFA YA MSIBA WA PETER LAZARUSNDUGU LOMUNYAKI LETARA NA MKEWE JUDY KIMAMBO WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA  NDUGU PETER LAZARUS(KAKA YA JUDY) KILICHOTOKEA HUKO NYUMBANI TANZANIA GHAFLA LEO 22/4.

KWA MAWASILIANO YA UTOAJI POLE NA RAMBIRAMBI UNAWEZA KUFIKA NYUMBANI KWAO 

BACKLURAVÄGEN 35C NYNÄSHAM.

SIMU NO 073 6947 931 AU 070 4882 335

judyandlom2010@gmail.com

R.I.P. PETER

1 comment: