Friday, 5 April 2013

SKYLIGHT BAND YAPAGAWISHA JIJI LA MWANZAVijana wa Skylight Band Kutoka kushoto ni Sam Mapenzi, Joniko Flower na Sony Masamba wakijitambulisha kwa mashabiki wa Band hiyo kwa staili ya aina yake jijini Mwanza katika ukumbi wa Villa Park Resort Jumatatu ya Pasaka.
Aneth Kushaba AK 47 , Sam Mapenzi na Mary Lukas wakitoa burudani kwa wazi wa Mwanza.
Mary Lukas, Sony Masamba na Aneth Kushaba AK 47 wakitoa burudani kwa wakazi wa Mwanza.
Mashabiki wakicheza huku wakichukua picha za ukumbusho.
Dr. Sebastian Ndege akimtunza mijihela Sony Masamba.
Kikosi kazi cha Skylight Band kikicheza Sebene.
Nyomi la wakazi wa Mwanza ambao ni mashabiki wa Skylight Band wakijimwaga ndani ya Villa Park Resort.
Kwaito ilihusika pia.
Aneth Kushaba AK 47 akicheza na shabiki wake jukwaani.
SAM MAPENZI:...I'm here alone, didn't wanna leave My heart won't move, it's incomplete Wish there was a way that I can make you understand. ........ANETH KUSHABA AK47: .....But how do you expect me to live alone with just me 'Cause my world revolves around you It's so hard for me to breathe. On Action.
Picha juu na chini ni Hellen Kazimoto na Msanii Shilole wakishow love jijini Mwanza ndani ya Villa Park Resort.

Sam Mapenzi na Sony Masamba wakitoa burudani ndani ya Villa Park Resort.
Chop my money, cuz I don’t care....I don’t care (don’t care) cuz I get am plenty....I don’t care (don’t care) ....The girls they love me...full bata mwanzo mwsiho.
Aneth Kushaba AK47 akiwaimbia wakazi wa Mwanza.
Hellen Kazimoto akimpagawisha rafiki yake wa kizungu kwa mauno, huku Shilole akivuta hisia za burudani ya Skylight Band.
Carolina Mama, njoo tucheze....!!Sebene limekolea ni Balaaa.
Picha juu na chini Shilole akionyesha umahiri wake wa kuzungusha kiuno kwa mashabiki wa Skylight Band ndani ya Villa Park Resort jijini Mwanza.
Asante kwa mauno dada...Shabiki akimtunza Shilole.
Meneja wa Villa Park Resort (mwenye shati la draft) akisakata sebene na kushangiliwa.
Mashabiki wakichizika: Mzuka unapokolea lazima upepewe.
Wewe hapo sasa....chezea Skylight.
Wengine wakishangaa wenzao wakisakata Sebene.
Shilole akimtunza pesa taslim shilingi Laki mbili Meneja wa Bendi ya Skylight Aneth Kushaba AK47 kwa niaba ya Villa Park Resort ya jijini Mwanza kwa kufurahishwa na kazi nzuri ya Bendi hiyo.
Fans wapya wa Mo Blog wakishow love.
Mary Lukas na Aneth Kushaba wa Skylight Band.
Wapiga vyombo wa Skylight Band wakionekana nadhifu kabisa.
Rappa wa Skylight Band Mupao Joniko Flower (katikati) mkung'uta gitaa la Bass Chili Chala (kushoto) na Mpiga Tumba Daudi wakishow love baada ya kazi nzito.
 

No comments:

Post a Comment