Tuesday, 3 September 2013

Habari ya post!

Asalaaam aleykum wakubwa na waungwana,Tuko pamoja mpaka sasa ingawa bado kuna kimya kirefu.kuna swala ambalo linAtakiwa kujadiliwa bila ngumi.kuna issue niliomgea Hapa kwamba anayehitaji promo na kama kuna issue ndogo ndogo za misiba,harusi birthday inabidi tupeane taarifa tu,mpaka sasa sijaona kitu.kuna mambo ambayo inabidi tutaarifiane wenyewe kwa wenyewe.sometyme minsiwezi kuota kama kuna mtu kama Marsta au Gotborg,N nyingine mnaweza kunipa abari.pia kama kuna abari ya mipakazo Nato ni Sawa tunaweza kukutana tukapeana mawazo mbadala.kwahiyo bandugu tujaribu kuwasiliana na kupeana habari inavyotakiwa.isaackin blog iko always kwa ajili ya waTanzania.hasa walioko. Sweden na vitongoji vyake.pia nchi jirani tunao Pia

Letteni mambo!

1 comment:

  1. Twambie nani na nani kaopoa mswidy st clara hayo ndo maneno

    ReplyDelete