Wednesday, 18 September 2013

Ommy Dimpoz ndani ya U.S. Tayari kwa show


Juu na Chini ni baadhi ya picha za kivazi kutoka kwa mbunifu wa Kwetu Fashion, Miss Temeke
Miss Temeke designer of kwetu Designs rocking her new creation.
Miss Temeke aki show love kwa mwanamuziki Ommy Dimpoz baada ya kuwasili Washington kwa show yake Jumamosi hii
 Kwetu fashion CEO akiwa na msanii Ommy Dimpoz 
 Tayari kwa kuanza Safari ya kuelekea sehemu za mapumziko
ukiachia ubunifu wa mavazi Kwetu fashion pia wanapamba watu na kuwaweka makeup kwa shughuli yoyote ile.
unaweza kuwasiliana nao kwa njia ya email au nambari yao ya simu


Chanzo:JG blog

No comments:

Post a Comment