Friday, 30 September 2011

week end song"VITA IMANA" werrason

UJUMBE MURUWA


yeah ila bia na konyagi ndio zipo za kumwaga,hapo ndipo nnapoipendea hii nchi

KUNYWA BIA NA KOROBOI INAWEZEKANA?

stockholmer week end finest

Friday @ Café Opera, September 23

Saturday @ The Soap Bar, September 24

Saturday @ Rose, September 24

Saturday @ Rose, September 24

Wednesday @ The Soap Bar, September 21

Wednesday @ The Soap Bar, September 21

Wednesday @ The Soap Bar, September 21

Wednesday @ Rose, Sept. 21

Wednesday @ Rose, Sept. 21
oho, ohooooo, maombi?
Wednesday @ Rose, Sept. 21

Wednesday @ Rose, Sept. 21

Friday @ Oxid, September 16

Friday @ Oxid, September 16

Friday @ Oxid, September 16

Friday @ Solidaritet, September 16

Saturday @ Café Opera, September 17


photo:finest.se

duh!

Makamu Wa Rais Akutana Na Waziri Wa Maendeleo Na Ushirikiano Wa Kimataifa Wa Sweden





1. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataifa wa Sweden, Gunilla Carlsson, wakati alipofika ofisini kwake kwa mazungumzo jijini Stockholm Sweden hivi karibuni.   



2. Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi ya picha yenye Taswara ya mjini wa Zanzibar, Waziri wa Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataifa wa Sweden, Gunilla Carlsson, wakati Makamu alipofika Ofisini kwa waziri huyo jijini Stockholm Sweden kwa mazungumzo hivi karibuni. 


3. Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akichangia katika kongamano la lililoandaliwa na Waziri wa Maendeleo na Ushirikiano wa Kimataifa wa Sweden, Gunilla Carlsson, kuhusu nafasi ya uhusiano wa Tanzania na Sweden, lililofanyika jijini Stockholm Sweden majuzi


Picha na Muhidin Sufiani-OMR


Thursday, 29 September 2011

INVITATION OF LAUNCHING BENN HAIDARI BOOK



Sirs/Madam,
Mariehamns Bokhandel with the author himself is inviting you to attend the launching of my book:


Date: 19 th.Nov.2011
Place: Mariehamn Åland, Hotel and restaurang College
Time: 15 hours to 17 hours.
Guest of honour: His Excellancy the Tanzanian Ambassador

                                                                        Mr. Mohamed Mzale


Benn Haidari
klintvägen 16 C 36
22100 Mariehamn
Åland
Finland
Author of Modern Zanzibar Cuisine
Author of Letters to my children
Author of gastronomy from an ice cold paradise
Tel.+358.457.3424826
Home:+3581813665



Wednesday, 28 September 2011

sharing room in tumba available


SHARING ROOM

Ad type:Accommodation
Location:Stockholm
Date added:28 Sep 11
LARGE ROOM AVAILABLE IN TUMBA FOR SHARE. Responsible female student or working girl to share my comfortable room with me. The rent is 3500kr. so we spilt the bill among us which is 1,750 per month. Date of moving in is 1 of october.Interested should contact me through 0739980747,vicky.

Nato yashambulia Sirte kwa mabomu.



Sirte ya shambuliwa
Ndege za kivita za NATO zimeshambulia mji wa Sirte, moja ya maeneo ya mwisho yaliyo ngome za Gaddafi, wakati wanajeshi wa serikali ya Libya wakiendelea kuushambulia mji huo.
Wanajeshi wa Baraza la Mpito la Taifa la Libya (NTC) wanakabiliwa na upinzani mkali na wamepeleka vifaru kukabiliana na mashambulio ya kuvizia yanayoendeshwa na wapiganaji watiifu kwa Gaddafi.
Wanajeshi wa NTC wanadhibiti bandari wakati wakisonga mbele kuelekea katikati ya mji wa Sirte - mahali alikozaliwa kiongozi wa Libya aliyeondolewa madarakani.
Raia wamekuwa wakiondoka kutoka mji huo, wakati ambapo kuna uhaba wa maji, chakula na dawa.

Makabiliano makali

Wizara ya ulinzi ya Uingereza imesema majeshi yake ya anga na yale ya NATO yalipata mafanikio katika mashambulio ya siku ya Jumanne katika mji wa Sirte, kwa kuharibu maeneo ya kijeshi, yaliyolengwa yakiwemo maghala ya silaha na risasi.
Pia wameendesha mashambulio katika ghala la magari ya kijeshi ambalo limekuwa likitumika kama moja ya vituo vikuu vya shughuli za kijeshi kwa askari wanaomuunga mkono Gaddafi. Mashambulio ya anga yaliendelea siku ya Jumatano.
Sirte pamoja na mji wa Bani Walid ni maeneo ya mwisho yaliyo chini ya udhibiti wa wanajeshi watiifu kwa Gaddafi. Miji yote miwili imekuwa kitovu cha mapigano makali katika wiki za hivi karibuni.

Maafa

Kwa mujibu wa taarifa moja, wapiganaji 11 wa NTC waliuawa katika mji wa Bani Walid, kufuatia makombora yaliyofyatuliwa Jumatano na wanajeshi wanaomtii Gaddafi.
Raia wengi wameukimbia mji huo, lakini watu wameendelea kuripoti hatari ya kujikuta katikati ya mapigano ya kuwania kuutwaa mji wa Sirte.
Kamanda mmoja katika uwanja wa mapigano amesema upinzani unaoonyeshwa na wapiganaji wa Kanali Gaddafi umekwamisha harakati za wanajeshi wa NTC kusonga mbele kuudhibiti mji wa Sirte.
"Daima kumekuwa na mashambulio ya mizinga na makombora, tunajibu mashambulio hayo kwa silaha nzito lakini hatuwatumii askari wa miguu," Kepteni Walid Khaimej ameliambia shirika la habari la AFP.
"NATO ipo hapa lakini bado haijatosheleza. Wanarusha makombora , lakini tunajibu haraka. Tunahitaji msaada zaidi kutoka NATO."

Hali mbaya ya maisha

Chama cha Msalaba Mwekundu kimeonya kuwa hali ya maisha ya watu katika miji ya Sirte na Bani Walid inazidi kuwa mbaya.
"Hakuna chakula, hakuna umeme. Tunakula mikate tu," Mkaazi mmoja wa Sirte Saraj al-Tuweish ameiambia AFP wakati akiondoka mjini Sirte Jumanne.
"Kwa muda wa siku 10 nimekuwa nikijaribu kutoroka na kila wakati jeshi linatulazimisha kubaki. Leo, mapema asubuhi tulitumia barabara mbaya na tukaweza kutoroka."

chanzo:bbcswahili

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKIWA KATIKA SEMINA YA KUBADILISHANA MAZINGIRA JIJINI STOCKHOLM



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mama Asha Bilal, Waziri wa Mazingira Huvisa, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Mazingira ya Stockholm, John Kuylenstierna, wakati wakiwa katika semina ya kubadilishana uzoefu kati ya taasisi hiyo na Wizara ya Mazingira iliyo chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais. Semina hiyo ilifanyika jana katika ofisi za taasisi hizo zilizopo Stockholm nchini Sweden.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Mama Asha Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Taasisi ya Mazingira ya Stockholm, baada ya kumalizika kwa semina ya kubadilishana uzoefu kati ya taasisi hiyo na Wizara ya Mazingira iliyo chini ya Ofisi ya Makamu wa Rais, iliyofanyika jana septemba 27 katika ofisi za taasisi hizo zilizopo Stockholm nchini Sweden.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Mama Asha Bilal, wakiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Muhammed Mwinyi Mzale na baadhi ya mabalozi wa nchi mbalimbali baada ya hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Balozi wa Tanzania, Sweden jana Septemba 27. 

Picha na Muhidin Sufiani-OMR

PICHA YA WIKI




mmmh,weka maneno yako

JINI KABULA AWEKWA KINYUMBA NA MWANAMKE MWENZAKE





AMA kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, msanii wa  filamu za Kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’  (pichani) ametoa kali ya mwaka baada ya kutimka kwa mpenzi wake mwanamuziki, Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ na kwenda kuwekwa kinyumba na mwanamke mwenzake Tabata Kimanga, jijini Dar es Salaam, Risasi Mchanganyiko linakupa kitu na boksi.
Habari zilizonaswa na chanzo chetu zinasema kwamba, Jini Kabula alihama kwa mpenzi wake huyo maeneo ya Kawe jijini Dar na  kwenda kwa mwanamke mwenzake kwa sababu ya kuridhishwa  kimapenzi.
Mara baada ya kuzipata taarifa hizo,  paparazi wetu alipiga hatua hadi Tabata kuthibitisha juu ya habari hizo lakini alipofika  sehemu aliyoelekezwa, hakumkuta na kuambiwa kuwa amekwenda kazini.
“Ni kweli Jini Kabula anaishi hapa lakini ukitaka kumpata nenda saluni ya Mercy Hygienic Classic Barber pale Mawenzi Savana, utamkuta amepata ajira pale,” alisema jirani huyo.
Paparazi wetu alifika hadi Mercy saluni na  kumkuta  Jini Kabula akiwa ‘bize’ akimsafisha uso ‘scrub’  mteja , mara alipomaliza kazi hiyo mwandishi wetu alimtupia tuhuma za kuhamia kwa mwanamke, ndipo msanii huyo alipofunguka na kulimwagia sifa penzi hilo analolipata kutoka kwa mwanamke mwenzake.
“Kwani kuna matatizo gani mimi kuhamia kwa mwanamke mwenzangu, kama ni mapenzi basi mjue kuwa nyie wanaume mmeshindwa kuniridhisha ndiyo maana nimehamia huku,” alisema  Jini Kabula.
Msanii huyo alimshukuru Mungu kwa kuwa mwanamke mwenzake ameweza kumtuliza na kumtafutia kazi, hivyo hana haja ya kuhangaika na wanaume kwa sasa.  

chanzo:gpl

UK APROVES SHRIEN DEWANI EXTRADITED TO SOUTH AFRICA


UK approves Shrien Dewani extradition

The UK home secretary Theresa May has signed an order authorising the extradition of British businessman Shrien Dewani, wanted in South Africafor the murder of his Swedish wife Anni in November, the Home Office confirmed on Wednesday.
A British judge ruled on August 10th that Dewani could be extradited, but said the final decision rested with the home secretary. Dewani now has 14 days to appeal to the high court, a Home Office statement said.

"On Monday 26 September the home secretary, having carefully considered all relevant matters, signed an order for Shrien Prakash Dewani's extradition to South Africa," the statement said.

"Mr Dewani now has the opportunity, within 14 days, to appeal to the High Court against the decision of the district judge and/or the home secretary."

Dewani, 31, now being treated in a mental hospital for depression and stress, is accused of murdering his new bride Anni while they visited Cape Town in November.

The newlyweds were being driven through a dangerous part of Cape Town when their taxi was hijacked. Dewani was thrown out of the vehicle while his wife was driven off and shot dead.

Driver Zola Tongo was jailed for 18 years after turning state witness and pleaded guilty to his part in the killing. He claimed Dewani had ordered the shooting and paid him, but Dewani denies any wrongdoing.
Dewani, a businessman from Bristol in southwest England, has fought
extradition proceedings, arguing that he is too unwell.



THELOKAL

NIGERIA 51 INDEPENDENCE DAY 1st OCT IN STOCKHOLM DNT MISS

Nigeria Union Stockholm proudly presnts
*****Nigeria @ 51yrs Independence day Celebration.
Latest Naija music, african flavours, food, drinks and entertainment.
1st Oct. Västberga Alle 15-25. Door 19.00-04.00


CHECK OUT UK WHITE PARTY COVENTRY 2011

DSC05124

DSC05121

DSC05117

DSC05116

DSC05114

DSC05112

DSC05109

DSC05106

ngoma inogile
DSC05105

"yu nou mi?"
DSC05104

DSC05102

DSC05101

DSC05099

"like dat,shake yo butt beibe"
DSC05097

DSC05096

nyomi
DSC05088

DSC05086

DSC05084

DSC05082

DSC05078

DSC05077

DSC05074

DSC05071

DSC05069

DSC05066

DSC05064

DSC05061

DSC05060
DSC05059

DSC05058

DSC05056

DSC05055

DSC05053

DSC05047

DSC05046

DSC05045

DSC05044

DSC05043

DSC05041

dj in the mix


photo courtesy:GONGAMX