Saturday 17 September 2011

sunday bongomovie"Mtaa wa tatu"


haya wadau ingawa nilikuwa kimya kwa muda kidogo,hiyo ilitokana na kuibiwa vitendea kazi katika ajali.
 kama nilivyoahidi sasa ndio hivyo tena nimeweka movie links hizo kwa kuanzia this sunday tunaweza kuzubaa zubaa na hii movie ya kina majuto,kuangalia we bofya tu link hizo nazo zitakupeleka moja kwa moja huko kwenye website ya mamovie ya kibongo ukaangalie,pia nimeweka link pale pembeni kulia ili kila muda ukitembelea blog yako isaackin utaweza pia kuangalia movie kwa ku-click hiyo link ya hao wenzetu na muda wote ukaenda huko kutizama bongo movie.hii yote ni katika kujitahidi kuwaridhisha nyinyi wadau wangu muda wote.
asanteni na karibuni


No comments:

Post a Comment