Friday 30 September 2011

UJUMBE MURUWA


yeah ila bia na konyagi ndio zipo za kumwaga,hapo ndipo nnapoipendea hii nchi

KUNYWA BIA NA KOROBOI INAWEZEKANA?

1 comment:

  1. Wanakazana kutengeneza bia watu walewe wapotelewe akili. Wanashangaa kukuta walevi hao hao ndio bado zinacharge na wanachallenge uzembe wao na wanatoa point zenye nguvu (ya bia sio soda!!).

    Huyo kijana kanifurahisha. Apite na hiyo tshirt mbele ya JK.

    ReplyDelete