Friday 16 September 2011

10 BORA ZINAZOTAMBA BONGO SASA



 dushelele-aly kiba
   
moyo wangu-diamond  

muhogo-andazi-nuru na bob junior
  tajiri wa mahaba-cassim mganga
hata kwetu wapo-sam wa ukweeli

bongo-fleva-dully sykes
 
 milele daima-barnaba mshkaji anaimba kidogo nafananisha na kidum
 starehe gharama-tundaman  
kinoma noma-chege linah
 
 swagger-pico& shozd

 hizi ni kumi zangu ninazoziona zinatamba kwa sasa,ukiingia maeneo ya kujidai kama maisha pale na kwingineko,basi lazima ukutane na mipini hii ya uhakika,na si utani utaingia mwenyewe dimbani ucheze,flowers sasa za ukweli na siku hizi zile flower ngara ngara za mujini za zamani sijui zimehamia chijijini  maana hazionekana kuna sura mpya mpya tu sidanganyiki kila pahala,mmh haya hayo mambo nawaachia vijana mi na uzee huu ntaishia kuwaita tu "babuuu" na wenyewe wanaitika "babuuuu" haya wenye meno kazi kwenu club maisha kila j,pili usipimie.

No comments:

Post a Comment