Monday 5 September 2011

Wapenzi wa blog ya isaackin

Nawapa pole sana kwa kukosa uhondo wa eid na weekend kwa ujumla,hii yote ilitokana na mwanabloga kiongozi wa blog hii mr isaackin kupata ajali mbaya sana jumatano usiku wa eid mubaraq.kwa miujiza ya mola isaackin amekiepuka kifo si kwa ushujaa wake Ila kwa mipango ya mungu tu.ajali AMA tukio lilijiri katika mazingira ya ajabu sana na mpaka sasa limesababisha hasara kubwa sana. Basi hatutaongea sana kwani shughuli iko katika uchunguzi wa polis tutaendelea ku-update matukio Mara tu ntakapopata nafuu na kueleza kilichojiri. Asanteni na karibuni

2 comments:

  1. Pole sana tena sana...Twamshukuru Mungu u-salama na ugua pole sana .

    ReplyDelete
  2. pole sana ndio ubinadamu yakhe!

    ReplyDelete