Tuesday 30 August 2011

Eid mubaraQ wadau

Ingawa hatuna uhakika ni leo ama kesho.kwa bongo kesho lazima pilau liliwe uwe umeandama au bado raia watasherehekea,eid tamu bana.utawaona kina yakhe wako nadhifu kwa kanzu zao na vikoi huku kinamama wameshuka na baibui za kukata na shoka.kiila kona ukikatiza unakutana na harufu kali ya pilau na biriani,na siku hiyo akha ubwii unaweka pembeni pilau na fanta inafaa sana,sio pilau la eid na safari Bia lazima urudishe chenchi nawatakia eid njema wadau woote na tukikutana mitaani huko tukaribishane japo kwa punje la nchele.

2 comments:

  1. we si ulisema unafanya mabadiliko ya blog humu mbn unadorala siku izi????? mpk kuna kuwa hakunogi humu isaackin

    ReplyDelete