Monday 22 August 2011

BALOZI WA TZ SWEDEN AFUTURISHA

balozi Mohammed Mwinyi Mzale

balozi wa tanzania nchini sweden,mheshimiwa mohammed mwinyi mzale aliwakaribisha watanzania wote katika futari kwenye mwezi huu wa ramadhani,tukio hilo lilijiri nyumbani kwake balozi nasby park na lilihudhuriwa na watanzania wengi mchanganyiko wake kwa waume,tunamshukuru muheshimiwa balozi kwa moyo wake huo na tunamuomba aendelee kutualika tena na tena.
wageni waalikwa wakiwa tayari tayari kuisubiri ftari hiyo kwa hamu
buffee lilikua liko katika muonekano huu
mheshimiwa akigawa tende kabla ya ftari
swala ikitolewa kabla ya kufturu
msosi ukafunguliwa na shughuli nzima ikaanzia hapo
naona JJ natengeneza kinyuaji




kina mama na watotot nao hawakuwa nyuma katika shughuli hiyo
rashid"deko"nimeambiwa ndio babayangu wa sweden na waungwana wanaojua mitusi teh teh,asanteni kwa kunipa baba

dj richie kama kawa alikuwepo siku hiyo mambo yake yaleeee aliweka pembeni kwanza

KC (DARSTOCKHOLMBLOG) nae alikuwepo



mkuu abraham nae alikuwepo

side mbegu
masai mzee wa shughuli alikuwepo"wee muungwana umefunga lakini?"

mzee wetu ustaadh nae hakukosekana


yunus nae hakukosekana maeneo hayo
mwisho kabisa mheshimiwa akapata nayeye haki yake baada ya kuhakikisha wageni wote wamepata stahili yao
shukrani zimwendee balozi kwa mwaliko huu,blog ya isaackin haikuweza kufika eneo la tukio baada ya mvua kunyesha sana na maji kujaa katika madimbwi bara barani hivyo kusababisha foleni ndefu saaana ya treni na magari,hata hivyo tuliweza kuwakilishwa na watanzania wengine ambao ama walienda kwa helkopta au walifika eneo la tukio mapema sana
hata hivyo next time sie ndo tutatandika mikeka na maandalizi kwa kuwahi,
asente

picha zote tokaDARSTOCKHOLMBLOG

No comments:

Post a Comment