Friday 5 August 2011

NEW MALE MODEL IN TOWN!

hapo je?katika pozi za mshtuko

hapa pozi za kupoza njaa

hizi pozi za kibosi bosi,kushiba saana

yes i mean it,MILTON ISAAC NASAR jr ni mmojawapo wa watoto waliochaguliwa kwa ajili ya interview hapo jumapili.
akishinda katika hiyo interview basi ni kuingia mkataba wa moja kwa moja wa kuanza kupiga picha na video za matangazo.

tunamuombea heri tu maganga wetu huyu ashinde hiyo tenda atupunguzie njaa wazazi wake,maana inakaba kweli kweli


No comments:

Post a Comment