Monday 29 August 2011

WERRASON NEW LIVE IN AFRICAN NIGHT FRANCE-2011



mi binafsi nilifurahishwa na show ya werra na vijana wake,ni wanamuziki wengi wa africa wali-perfom siku hiyo km fally,magic systeme na jessy matador na wengine kibao,naona jamaa na timu yake walifunika.
waweza angalia related video zingine ikiisha hii,km si mpenzi wa bolingo ipotezee

No comments:

Post a Comment