Wednesday 24 August 2011

DAVID JAIRO ALIVYOPOKELEWA KAZINI KWA SHANGWE LEO

Wafanyakazi wa wizara ya nishati na madini wakilisukuma gari la bosi wao jairo

wafanyakazi hao wakimpokea katibu wao huyo kwa furaha


Bw. Jairo akikumbatiana na Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja alipowasili ofisini kwake leo asubuhi.

HABARI YA JAIRO KURUDISHWA KAZINI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment