Wednesday 24 August 2011

YUNUS KUFTURISHA NA KUMUOMBEA DUA BABA YAKE MKUBWA IJUMAA HII

YUNUS WA KWANZA KUSHOTO


NDUGU YUNUS WA KUNGSÄNGEN ANAWATAARIFU NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WA HAPA SWEDEN KÜWA SIKU YA IJUMAA SAA MBILI KAMILI JIONI KUTAKUWA NA KISOMO CHA KUMUOMBEA DUA BABA YAKE MKUBWA ALIEFARIKI TANZANIA SIKU YA JUMAPILI NA KUZIKWA SIKU YA JUMANNE HUKO HUKO TANZANIA.

YUNUS ANAWAOMBA WATANZANIA NA WASIO WATANZANIA KUHUDHURIA KATIKA KISOMO HICHO SIKU HIYO YA IJUMAA BERGASKOLAN LOKAL  KUNGSÄNGEN.

UTARATIBU ULIOPANGWA NI KWAMBA WATU  WATAFTURU WOTE KWA PAMOJA NA BAADA YA KUFTURU NDIO KISOMO CHA KUMUOMBEA MAREHEMU KITAANZA.

KUFIKA KWAKO WEWE NDIO UFANIKISHAJI WA KISOMO HICHO.

 WOTE MNAKARIBISHWA.

TAFADHALI UPATAPO TAARIFA HII MTAARIFU NA MWINGINE.

KWA TAARIFA ZAIDI PIGA NO 0762819664 .

1 comment:

  1. kaka ulipaka kwa hasira kujibu tuhuma moja dhidi ya mtoa maoni ukidai hii si glob ya hitima na kuuza sura leo inakuwaje unaweka matangazo ya hitima? chunga vidole vyako kaka usijijengee maadui wasiokuwa walazima,hapa ndio tupo na tunaendelea kuishi na bila shaka bongo itakuwa matembezi!

    ReplyDelete