Tuesday 2 August 2011

DEVOTA NA ROGER WAMEREMETA BONGO

Mr &mrs Johanssen

bwana na bibi hrusi wakimwaga wino wa mkataba
wapambe waliingia kwa style saaafi ya mianvuli wasichomwe jua kali sana
bi harusi na ndugu wa familia

i loove this
kitungi kilikua cha kutosha tu
ukiona hivi ujue kwaito liko mahala pake
bi harusi na bwana harusi nao walijimwaga
mwisho muziki ulihitimishwa kwa vidole juu

HONGERA SANA BW NA BIBI JOHANSSEN KWA TUKIO HILI MUHIMU NA TUNAWATAKIA MAISHA YENYE HERI NA FURAHA MPAKA MWISHO.


pichazote kwa hisani ya michuzimatukio


No comments:

Post a Comment