Thursday 25 August 2011

BAADA YA KUPOKELEWA KWA SHANGWE JAIRO ASIMAMISHWA TENA KAZI


inasemekana huyu bwana mkubwa baada ya kurudishwa kazini na luhanjo na kupokelewa kwa mbwembwe na wafanyakazi wake sasa kasimamishwa kazi tena na taarifa imesomwa na huyo huyo luhanjo ili kupisha uchunguzi.
chanzo ni ITV
habari zaidi baadae ngoja tukafukue

No comments:

Post a Comment