Thursday 11 August 2011

DUH!!



kwa mzinga huu sijui km kuna mtu alitoka mzima;nakumbuka zamani sana nilipokuwa mdogo kuna mahali tulikua tunakaa zambia road(mbeya) basi kushuhudia mizinga na sarakasi za magari kama hii ilikua kawaida sana.
kila siku hasa mvua ikinyesha basi lazima tukashuhudie ajali,kwa kweli zilikua ni picha mbaya sana ambayo sitaki kuzikumbuka maana ni ajali nyingi kiasi nikianza kusimulia ntajaza kitabu,ilikua ni kila leo kuangalia watu walivyokufa ama kukatika viungo kwa style tofauti tofauti,we fikiria kwa utoto ule ilifika mahali kuona damu na maiti ilikua kitu cha kawaida sana

sasa balaa lake siku hizi ukubwani nikimuona mtu hata ana kakidonda kanatoa damu naweza kuzimia kwa woga.kaaz kwel kwel

No comments:

Post a Comment