Friday 12 August 2011

MUSLIM IS OUR NEIGHBOURS



 Well no hate,nimetumiwa hii video leo asubuhi na mdau wa blog toka U.S,video inazungumzia hate speech za viongozi huko U.S. kuhusu islam na inaelezea kwamba islam is our neighbours we cnt hate them,ukiangalia vizuri utaona wanaonyeshwa waislam wakishiriki kufanya kazi mbali mbali za kijamii.

sikuona sababu ya kuibania ingawa ndugu zangu hawa wamechachamaa na kuniita kaffir na mgalatia kwa ajili ya kumuweka kondoo wao.

 anyway tusameheane pale tulipokosana na tuendeleze libeneke. ukitaka kujua zaidi kuhusu hiyo campaign bofya link hapo chini

 http://myfellowamerican.us

No comments:

Post a Comment