Thursday 13 October 2011

JB MPIANA &WENGE BCBG NEW SEBEN 2011 "BILOKO" LIVE FIKIN


live



oficial video
 "cheza kadogoooo"
ukisikiaa hivyo unajua anamaanisha nini?
haya tena hii ni kwa wapenzi wa mabolingo na misebene asiyependa atavumilia siku tutampatia kwaya
hii concert imepigwa pale kinshasa fikin hivi karibuni mwezi huu,utaona jinsi jamaa wanavyojibidisha kwa stage maana kama ni show ni ya ukweli.na hii ndio pilipili ya jibe mpiana papa cheri mukulu kulu,ye huwa anawaacha wengine watangulie waimbe weee,wapige vijembe weee siku akija kutoa kitu anawachezesha pande zote nne za stage.werra na koffi inabidi wajipange upya tena kuweza kumpata jibe sasa hivi

No comments:

Post a Comment