
washindi watatu wa miss africa crown international 2011 no 1 alikuwa ni jessle toka uganda,no 2 alikuwa elizabeth toka kenya na no 3 akiwa ni maria toka south sudan

shughuli nzima ya kumvalisha taji inaendelea na ikifanywa na michelle jeng aliyemaliza muda wake wa kushika taji hilo
mshindi no 3 maria toka south sudan akivalishwa taji

HAPA MSHINDI WA TAJI HILO AKIPONGEZWA NA MARAFIKI


NANCY AKIFURAHIA JAMBO NA MMOJA WA MADJ WAKALI STOCKHOLM

ohoo chezea grace



lily na linda


picha zingine kuwajia baadae maana net bado haijatulia
PICHA KWA HISANI YA KSB BLOG NA VYANZO MBALIMBALI
No comments:
Post a Comment