Thursday 20 October 2011

TAARIFA YA MSIBA:FERUZI AHMED AMEFIWA NA BABA YAKE


Kwa Jumuiya ya Watanzania,


Feruzi Ahmed Said (Mume wa Dorina) amefiwa na baba yake mzazi Mzee Ahmed Said leo alfajiri.

Feruzi anapenda aende nyumbani (Dares Salaam) haraka iwezekanavyo kuhudhuria mazishi kama atawahi. Ikishindikana aende kuhani.

Yeye na mke wake wanaleta ombi la msaada wa hali na mali kwa jumuia ya watanzania ili Feruzi aweze kwenda katika mazishi.

Kwa maelezo zaidi ya jinsi ya kumfikishia msaada huu kama una uwezo, tafadhali piga simu Na. 0722982865 (Feruzi) au 0737143048 (Dorina).

Kwa wale wataoweza kwenda kuwaona msiba uko, Konsolvägen 7, Hökarängen, (Green Line kwenda Farsta)

Watashukuru sana kwa msaada wenu.

No comments:

Post a Comment