Monday, 10 December 2012

KOFFIE OLOMIDE KUPIGA SHOW JIJINI DAR JUMAMOSI HII

.

Wale wapenzi wa Mopao tutakutana jumamosi hii pale leaders club katika show maaalum za sehemu ya shamra shamra za miaka 13 ya clouds fm radio.
Ni kuanzia saa tisa mchana kwa kiingilio cha tsh 10,000 ukinunua ticket mapema na 15,000 ukinunua ticket mlangoni.

No comments:

Post a Comment