Sunday, 9 December 2012

UHURU WA TANGANYIKA 9 DESEMBAMWALIMU NYIERERE AKIINUA JUU BANGO LA UHURU
 MWALIMU NA WENZIE WAKISHEREHEKEA UHURU

PIA SI MBAYA UKIANGALIA DOCUMENTARY HIYO YA NCHI MBALI MBALI ZILIVYOPATA UHURU MIAKA HIYO TANZANIA IKIWEMO.NI DOCUMENTARY NZURI SANA NA INAONYESHA JINSI WAAFRIKA TUKIKABIDHIWA MADARAKA TUNAVYOKUWA.NA INAONYESHA PIA BAADA YA NCHI NYINGI KUPATA UHURU JINSI WALIVYOENDELEA KUHARIBU NCHI ZAO KILA UPANDE.ENJOY

No comments:

Post a Comment