Thursday, 9 May 2013

CHRISTIAN BELLA-MSALITI IN STOCKHOLM

amfahaamu

Well kwa wale wapenzi wa masauti na masebeni bila kusahau miduara tunaye huyu bwanmadada wale a hapa stockholm na hii ni kazi yake ya kwanza kuidondosha hapa Stockholm.nyimbo inaitw msaliti na ukiisikiliza ina mashairi mazuri ikoongelea wanawake wale vicheche.nyimbo ina ujumbe mzito na ni mwanzo mzuri huku tukitegemea mengi kutoka kwake

ka ujumbe kadogo tu tu hapa kwa Bella ni kwamba hapa Stockonyoko si vidume ndio tunaambiwa "nenda zako" .na wamama wakichachamaa maana beijing imeanzia huku.

1 comment:

  1. a very nice song. mara zote hukosei, good work

    ReplyDelete