Friday, 17 May 2013

TID 'MNYAMA' NAYE AITOSA SHOW YA MIAKA 13 YA JIDE


Khalid Mohamed T.I.D.
MSANII maarufu wa muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva), Khalid Mohamed maarufu kama T.I.D naye ameungana na wasanii Elias Barnaba, Estalina Sanga ‘Linah’ na Seif Shaban ‘Matonya’ kuitolea mbavuni shoo ya Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ au Jide ya kuadhimisha miaka 13 inayotarajia kufanyika Mei 31, mwaka huu katika Ukumbi wa Nyumbani Lounge, jijini Dar. TID kupitia katika akaunti yake ya Facebook alitaja sababu tatu za kumfanya asishiriki shoo hiyo:
Three reason why i cant do Lady JIDE SHOW...
No.1 I have better contract pays me better than.
No.2 I really dont want to be between anybodys conflict ya kwangu yananishinda naona niepushe shari.
No.3 Nataka kuoa muda wangu ndo huu.
Kama nimekukosea captain na madame kazeni but i have been thru same shit.........

No comments:

Post a Comment