Friday, 17 May 2013

YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 1&2 CHA JUMUIYA YA WATANZANIA SWEDEN


wageni wakiingia ubalozini

                                kikao kikiendelea na wajumbe wakiendelea kutoa hoja mbali mbali
 hoja ikitolewa na bwana ndesa kwamba wana ubongo wa fleva stockholm mko kimya vipi hamuimbi mjiendeleze na kuburudisha watu badala yake watu wana sehemu moja tu ya kuburudika pale kwa "MAVUMBI".

katibu na mkurugenzi wetu vijana wa mambo yetu yaleeeeeeeeee!
akitoa hoja


mwenyekiti


                                    bwana "eminemu"akihifadhi sumu yake baada ya kukata kiu
broda Ema akipata dondoo za kikao

ikafika zamu ya kupata maakuli

George anacheeeka


mjomba nae alikuwepo pale

hawa mabwana wawili ndio walitufanya tukaanza kuongea sana siku hiyo baada ya kutupa hayo maji ya uzima


raia wakiwa kwenye foleni ya kupiga mkono
nawaona jamaa zangu wa siku nyingi sana hapa SITOKI HOMU.alikuwepo Abbas siku hiyo mwisho akaamua kuwaonyesha "mkono" unapigwa vipi


Shekhan alikuwepo pia

Lily nae akifanya mazoezi ya kulea kabla hajapata leseni yake ya kusukuma baby vagnar

                                                    Mwenyekiti akibembeleza "madhiwa"                                mara kiduku kikafyatuka,watu we weee alajii alajiii alaajiii!

wengine wakiangalia ndolale kama bado zipo

Lomunyaki akiwa na brother Dave hapa

Mara P.D.G. Clay akaingia na trupu lake 

ohooo Omy Dimpoz ndani ya nyumba baada ya kutua tu


Mzee wa wana kama kawa na msafara

nikawalipua moja                                                                   " lakini humjui weye huyu"
                                                                 Aaaah kumbe huyu basi namjuaOmmy Dimpo akapata ,maakuli kisha wakaonana baadae kwa walioweza kufika


mkiuliza kwa mimi ilikuwaje sikuweza kufika kwenye eneo la tukio kuchukua picha za kilichoendelea. kwakweli uongo zambi.nilipotea nikajikuta natafuta ukumbi mpaka kumekucha.
usiniulize nilipanda mabasi mangapi na matreni mangapi.
mwisho nikajikuta nipo home, 
chezea baridi lilivyonitandika huko mitaani.

ISAACKIN
 HAYA NDIO YANAYOJIRI TUNAPOKUTANA HUKO,KWANZA TUNAJADILI MADA ZA MAANA.KISHA BAADA YA HAPO NI MISOSI NA BURUDANI.NAJUA WATANZANIA BADO HAMJAAMUA KUFIKA KWA WINGI KWANI MNADHANI HUKO NI POLITIKI TU .
HAPANA HUWA PIA KUNAKUWA NA BURUDANI NA KUFURAHIA WATU KUKUTANA BAADA YA MUDA MREFU
HIVYO NEXT TIME TUNAPOKUWA NA KIKAO MSIKOSE KUJA KWA WINGI.
KUNA NYAMA CHOMA INAANDALIWA NA CHAMA  MTAPATA HABARI SOON.

2 comments:

  1. HAHAHA! NIMECHEKAJE HII, YA WEWE KUPOTEA UKUMBI...
    ULISHAPIGA MAYI BWANA...

    ReplyDelete
  2. Safi sana! Taarifa imejitosheleza and with a light touch!!


    ReplyDelete