Wednesday, 15 May 2013

LUNCH TIME LEO HEWANI TENA


WELL NDUGU WADAU TULIKUA NA POST YA LUNCH TIME LEO KILA WIKI HAPA BLOGUNI,AMBAYO ILIKUA HASWA INAELEZEA MAMBO YA MAAKULI MBALI MBALI NA MA-RECIPE YALIYOENDA SHULE.POST HIZO HAZIJAWEKWA KWA MUDA KIDOGO ILA SASA ZITAKUA HEWANI KILA WIKI KAMA KAWAIDA KUTOKANA NA MAOMBI MENGI YA WADAU.

STAY TUNED HAPA HAPA BILA KUSAHAU ANDAA CHUMVI,PILI PILI NA NDIZI.

No comments:

Post a Comment