Wednesday, 1 May 2013

Lucy Tomeka mshindi wa TAJI LA redds miss dar indian ocean    Mshindi wa Taji la Redd's Miss Dar Indian Ocean 2012, Diana, akimkabidhi taji hilo mshindi wa mwaka huu, Lucy Tomeka.
    Tatu Bora walikuwa ni:  Linda Joseph, Lucy Tomeka na Sophia Yusuf wakiwa katika picha ya pamoja.
    Mshindi wa Redds Miss Dar Indian 2013, Lucy Tomeka, katika pozi la ushindi.
   Warembo walioingia Tano Bora wakiwa katika pozi.
    Msanii anayetamba na ‘songi’ la Naona Kama Ngekewa akifanya vitu vyake jukwaani kusindikiza hafla hiyo.
    Prodyuza na msanii mkongwe Bongo, Ally Baucha, akitumbuiza jukwaani.
    Majaji wa shindano hilo, Mboni Masimba, Martin Kadinda, Vivian na Sebo wakiwafuatilia washiriki (hawapo pichani).
   Warembo wakionesha shoo jukwaani.
WAREMBO 15 jana walipanda jukwaani katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Posta, jijini Dar kuwania Taji la Miss Dar Indian Ocean na bahati ikamuangukia Lucy Tomeka aliyeibuka kidedea kwa kutwaa taji hilo.

chanzo:gpl

No comments:

Post a Comment