Friday 4 March 2011

week end bongo movie"ZINDUNA PART-1"

NO-1 NO-2 NO-3 NO-4 NO-5 end

haya wadau wangu wa movie za kibongo,ni week nyingine tena tunaonana kwenye uwanja huu wa bongo movie,leo tunaangalia movie ZINDUNA-1.

ni movie ambayo nadhani ni nzuri na kama nilivyoahidi hapo nyuma wiki hii tutamuona kijana HEMED anayejiita BABA WA MASHAROBARO naye kashiriki katika movie hii,hivyo utapata kuchuja mwenyewe na kupata jibu kwanini wanashindana.
yote heri sisi mashabiki tunawaasa wakazane kutuletea uhondo wa movie na si mashindano ya kijinga.
pia lingine kuna malalamiko niliyapata last week,lakini msijali yote yamefika na tutarekebisha penye pengo,ni maswala ya muda tu.
 pia nahitaji maoni toka kwenu maana still mie naweka movie lakini nikitaka kuangalia inaleta mushkeli kidogo,sasa nataka munifahamishe ili kama na kwenu inaleta mushkeli pia basi tujulishane ili nirekebishe au tutafute njia nyingine mbadala ili muendelee kupata uhondo wa movie.maoni na mawazo yanakaribishwa.
adios

No comments:

Post a Comment