Saturday 26 March 2011

MODELS WETU LEO








nivue"vuaaaa"akasaula kweli sema hatuweki hapa tumezingatia maadili



nice







2 comments:

  1. isaackin inaonekana unapenda sana kuangalia matako ya wanawake wewe si unayo mke tena mzuri tu jiheshimu na wewe utaheshimiwa acha kuweka picha za ajabu ajabu ulikuwa unaonekana unabusara lakini hizi picha zako hapana hizi zinawenyewe io wewe kabisa

    ReplyDelete
  2. asante sana mdau kwa ushauri.lakini hii ni blog ya burudani na urembo so usishangae kuona hivi.na kuwa na mke ndio yupo na ni yeye anayenisaidia kuchagua hao warembo na kuweka hapo kwa hiyo hilo lisikupe tabu.
    kuna wapenzi wa blog wanapenda post za namna hii na tusipoweka itakuwa tumewakwaza pia.
    hata hivyo ushauri wako umesikilizwa ntapunguza makali ya hizo picha.asante na karibu tena

    ReplyDelete