Thursday 24 March 2011

NGUZO TANO ZA MAPENZI-MCHINGA SOUND




sijui nisemeje lakini wimbo una ujumbe mkali sana huu,kipindi hiki wana timba timba walikua kamili,Alli Choki,Hadija Mnoga,Kalala Junior,bila kusahau kichwa FERGUSON.ilikua ni burudani tu.kumbuka kwamba sasa wamejiunga tena kwa hiyo tutegemea vitu vingine vikali sana ingawa sasa ni EXTRA BONGO.

2 comments:

  1. Wimbo Mkali huu Mkuu!

    Wikiendi njema Mkuu!

    ReplyDelete
  2. sana mzee wimbo una ujumbe mkali sana.week end njema pia.

    ReplyDelete