Wednesday 16 March 2011

ISAACKIN PRODUCTION INTRODUCE MILTON ISAAC NASAR jr

kijana wetu anaendelea vizuri si haba mungu anasaidia,
haka kapicha amepigwa jana.

6 comments:

  1. ongera kaka yaani kopi yako kabisa

    ReplyDelete
  2. Hongera wazazi na Mungu amlinde katika yote!

    ReplyDelete
  3. nashukuru sana bandugu,tuko pamoja.

    ReplyDelete
  4. hongera kaka isaackin kwakupata baby tunamwombea mungu mungu akukuzie vema mimi ni mpezi sana wa hii glob yako sipitishi siku sjakutembelea uanfanya kazi nzuri sana ubarikiwe hii iko nje ya mada kidogo hivi kaka wewe unaishi tz au uko nje ya nchi nakama unaishi nje ya nchi uko nchi gani samahani kama nitakuwa nimeingilia mambo binafsi ni kwa nia nzuri tu

    ReplyDelete
  5. asante mdau unayeuliza niko wapi.kwa msaada mdogo gonga pale juu kwenye facebook badge yangu huko utapata info zangu zote.karibu

    ReplyDelete