Tuesday 22 March 2011

HAPPY BIRTHDAY MILTON ISAAC NASAR

hapa alikuwa amelala hoi

nikamwamsha atoe hi,akazuga hivi kwa mbaali
kisha akalizima tena
nilipomwamsha tena akaamka kanuna huyo kama vile anananiuliza"NINI"
nilipomwambia picha
akanitolea mfyonyo wa nguvu


akalizima tena

ANA MWEZI MMOJA SASA
"GRATTIS MILTON"


5 comments:

  1. He is so adorable,hongera Milton, na baba+mama kwa kutoa kitu cha ukweli.

    ReplyDelete
  2. Hongera Milton kwa kutimiza mwezi. Hongereni baba na mama na Mwenyezi Mungu awape nguvu za kumlea Milton.

    ReplyDelete
  3. Hongera kaka kwa kukuza!ni mtoto wako wa kwanza?

    ReplyDelete
  4. nashukuru sana mabloga wenzangu tuko pamoja.

    ReplyDelete