Tuesday 15 March 2011

UNAPOJIPANGA KUELEKEA LOLIONDO UJIANDAE





Kwa wale wanaotaka kuenda Loliondo, this are the facts
·         Loliondo is 400 Km from Arusha Town and its rough road
·         Long queues may take a week to be attended.
·         You need atleast two weeks of leave to complete your journey.
kina sunche na kapeto nao hawakosekani huko
na ujirani mwema lazima,hujui litakalojiri kwa muda uko huko

habari ya godoro lako chapa tembo nyumbani unaisahau kidogo,kulala ni ki-china china kama hivi,kwa wale mliopitia JKT hii kwenu kama kumsukuma mlevi.
Mti wa Mugariga ambao hutoa dawa
 
hapa mzigo uko mtamboni na tayari chini kwa shughuli
umuhimu wa babu unaanza hapo km anasema"microffoni cheki microfoni cheki haloo naomba mupange msitari vinginevyo ntaghairi kuwapatia dawa mrudi makwenu"
raia wanajibu"oooh babu usighairi huku mbali tutapanga msitari"
shughuli inaanza

"babu niongezee kidogo mi naumwa sana"
baada ya mwandishi kupata kikombe yake ndio akakumbuka kuuliza maswali

2 comments:

  1. kaka mwenye shuka ya drafti nafikiri ni maiti au?

    ReplyDelete
  2. kweli aisee,lakini nadhani aliamka alipopata dozi yake.

    ReplyDelete