Saturday 7 January 2012

MAKAMUZI YA SHILOLE JUKWAANI


Msanii wa bongomovie ambaye siku hizi amegeukia kwenye muziki shilole,alionekana akiwapagawisha mashabiki katika tamasha la Airtel 50 kwenye viwanja vya leaders,shilole alipanda jukwaani kutumbuiza kibao chake cha mduara akimshirikisha mwanamuziki Q Chief waliwachezesha vilivyo wacheza show wao kiasi kwamba nyonga zilizokuwa zikikatwa hapo zilitaka kusababisha mzuka uwapande watazamaji na kuvamia jukwaa.
hayo yote yalijiri katika tamasha hili la kufungia mwaka

hii inaitwa mamaa nibeebe
 balaa zaidi ilikuwa pale kanga zilipoloweshwa
 ohooooo"TAUZA JUMBA YANGU ILEEE UPANGA KISA PESA YOOTE MIMI TAPATIA WEWE PELEKA JUMBANI YAKO"

No comments:

Post a Comment