Wednesday 1 September 2010

DEDICATION YANGU LEO:(PASSWORD)TWANGA PEPETA.

Password-Twanga Pepeta

maudhi niliyopata hayana mfano.nashindwa kuelewa sometime wanadamu tumeumbwaje kuwa na roho ya nyoka namna hii.lakini hakuna mbaya unampofanyia mwenzio ubaya jua malipo hapa hapa duniani siku zote,na pia usisahau huwezi kumpangia mtu maisha hapa duniani ila mungu pekee ndiyo awezaye.na siku zote unapofanyiwa ubaya ni kumshtakia mnyezi mungu tu yeye ndio anajua jinsi ya kuwaadhibu hao waliokufanyia.ipo siku nitasema kilichotokea.AMEN

No comments:

Post a Comment