Monday 6 September 2010

MISS AFRICAN PRE-SELECTION PARTY ILIFANA


WAREMBO WOOTE WALIOSHIRIKI HAPA 
KWENYE PICHA YA PAMOJA.
 mamiss wakiwa na mmoja wa majaji lilian
mamiss katika vazi la ki-afrika
mmoja wa mamiss toka ethiopia
mukubwa clay nae hakukosekana 
kama kawaida dada zetu nao hawakukosekana eneo la tukio na walivunja kabati kama kawaida yao

linda kushoto na hallex berry kati,linda alituwakilisha vyema sana siku hiyo,nilifurahi hasa pale mamiss walipotakiwa kucheza techno-malewa,ilikua balaa maana hilo uno mtoto aliloangusha pale watu wote waliinuka kushangilia,hao mamiss wenyewe toka congo walipigwa butwaa maana kazi yao ilikua imeingiliwa siku hiyo.
kulikuwa na nyomi la kufa mtu siku na yes watu walilamba ulabu na mishkaki huku piri-piri ya kukata na shoka ilikuwepo,tukio lilimalizika pooa kabisa na bahati siku hiyo watu hawakugeuka ma-tyson na kuanza kuzitwanga ngumi.

No comments:

Post a Comment