Monday 27 September 2010

PALE EX GF WAKO ANAPOKUPAKAZIA UMEBEBA BOMU

 soma hicho kisa hapo
jamaa baada ya kujipakia ndani ya ndege kuelekea pakistan kuoa,ex wake kapiga simu polisi kama kuna jamaa ndani ya ndege kabeba bomu,ikabidi marubani waombe emergency landing arlanda stockholm,kuja kumsachi jamaa hana bomu wala nini,na jamaa akakiri kwamba lazima aliemchomea ni ex wake.huo usumbufu woote wa kufunga mpaka uwanja kwa muda ni sababu ya wivu tu wa mapenzi??usicheze na mapenzi aloo.

No comments:

Post a Comment