Monday 20 September 2010

USHAWAHI KUTINGA "SENDEU" A.K.A "KATAMBUGA" AMA RAIZON PORI

ngoma zikiwa zimepaki kusubiri wateja
aaah sana tu mi nshatumia sana hizi kipindi fulani,uzuri ukiwa nayo ni mkataba yaani biashara ya kwenda tena kununua sendoz unasahau,na raha yake uzinunue oversize yaani we acha tu,aaah summer ijayo ntakuwa nayo mitaani tu hapa hapa stockholm nijaribu kuzitafutia wateja,na anayehitaji anipe oda tu.najua raia watazuga hawazifahamu.

No comments:

Post a Comment