Wednesday 15 September 2010

STYLE MPYA YA VIWALO BONGO MWEEH!

bahati mbaya ma-modo wetu walikuwa bwiii

hizo ndio style iliyoingia sasa,wanapiga kikaptula kichupi na bra then wanatupia mtandio kiaina kuziba-ziba mabega.baadae joto likizidi(si unajua tena bongo) wanafanya kutoa mtandio tu unabaki na bra!haya tuendelee kusubiri.baadae joto likizidi tena watatupa mtandio kabsaa na kwenda na bra peke yake,likizidi tena watatupa na bra kabisa waende wazi huko juu baadae likizidi saaaana watavua na hicho kikaptula kabisa waende watupu na hapo ndio itakua finale.ni swala la muda tu tusubiri new style.
picha kwa hisani ya GPL

No comments:

Post a Comment