Wednesday 1 September 2010

STOCKHOLMER ALL WHITE PARTY YA WA-CAMEROON LAST WEEK

friend,dj mike,clay&his wife
clay and fans
nyomi
full nyomi

wakati NICEJAYGONGA wakiendelea kulala,WHITE PARTY imefanyika last sunday toka kwa wa-CAMEROON.kina gonga wameintroduce hiyo idea kitaambo lakini hawajasema date wala place.ok mi nadhani ilikua nzuri kama wangewahi kabla winter halijaanza kuwafanya watu wanune na kushindwa hata kwenda out,shughuli yote itakua imeharibika.wakuu(NICEJAYGONGA) huko mlipo wahisheni hiyo shughuli maana hali ya hewa ikibadilika kuvaa all white itakua haipendezi tena.na vilevile kuna mfululizo wa ma-party hapa kati,raia hawachelewi kuchakaa mifukoni,sababu koronar huwa haikopeshi.hima wakuu
source:clayblog

No comments:

Post a Comment