Thursday 2 September 2010

MISS AFRICA PRE-SELECTION BASH ON 3rd september2010 MODELS

aisatou-senegal
assi-gambia
 annete-nigeria
dorreen-tanzania

emilly kawesa-uganda
hallex berry-cameroon
hellina-ethiopia
eunice kamau-kenya
upendo-tanzania
woow-!?
upendo james-tanzania
sireh-gambia
stella
shughuli nzima ya kuchagua warembo watakaoshiriki miss africa scandinavia ni kesho 3sept hapo alvik.warembo hawa na wengineo wengi watakuja shiriki na kuchaguliwa wale watakaofaa kushiriki katika mchuano halisi hapo october 8-9 ndani ya boti ya tallink silja line.mnakaribishwa hapo wakuu bila kusahau kutakua na muendelezo wa disco la kukata na shoka na mishkaki ya kufa mtu na chachandu

No comments:

Post a Comment